KIMBUMGA CHA BAHARINI CHAUA WANNE MSUMBIJI

Watu wanne wanahofiwa kufa pwani ya msumbiji baada ya kukumbwa kikali kinachopiga pwani za msumbiji na madagascar kwa kasi kali na kuambatana na mvua,pepo kali zinazoharibu majengo,mali,magari na kungoa miti kwa nguvu kubwa ilichonacho kimbnga hiko

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "KIMBUMGA CHA BAHARINI CHAUA WANNE MSUMBIJI"

Back To Top