SIMU BINAFSI ALIYOTUMIA ADOLF HITLER YAPIGWA MNADA

Unapotaja jina hili la Adolf hitler bila shaka utakuwa unastua nafsi  za matifa ya  ulaya,marekani,asia na hata afrika kwa kile kilichofahamika kufanywa ktk utawala wa kiongozi huyo mwaka 1933-1945 baada ya kupigwa na kuangushwa kwa utawala wake na washirika wake kama italia,japan,hungary na austria.

Adolf hitler atambuliki kwa mabaya pekee ktk ujerumani bali wanamtambua kwa ushupavu wake na kulivusha taifala ujerumani ktk hali ya udhaifu na kulipeleka ktk maendeleo ya juu ya kiuchumi,kisayansi,kiteknologia,kijeshi na hata ktk maendeleo ya kimiundombinu ya barabara,elimu ndani ya ujerumani.

Adolf hitler alikuwa mababe na kutaka kuzitawala baadhi ya nchi za ulaya kwa kutumia nguvu ya jeshi aliyokuwa nayo hasa kutokana na maendeleo ya matumiz ya meli na vifaa vingine vya kisasa.

Ndani ya mwezi huu simu ya mezani binafsi aliyokuwa akitumia kiongozi huyo dikteta wa kinazi akiwa ndani ya chumba chake cha siri chini ya ardhi ilitangazwa na kufanikiwa kuuzwa kwa dola za kimarekani mia mbili arobaini na tatu $243000 sawa na shilingi ya tanzania milioni mia nne na themanini na sita 486000000 ikiwa ni mnada mkubwa kufanywa wa vifaa vya zamani vya kiongozi huyo.
Simu hii yenye umri wa miaka 72,ilitengenezwa mwa 1945 na kuwa ni miongoni mwa silaha hatari sana iliyowahi kutumiwa kutoa amri kali alipiokuwa mafichoni mwake.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "SIMU BINAFSI ALIYOTUMIA ADOLF HITLER YAPIGWA MNADA"

Back To Top