Reli ni miongoni mwa njia kongwe za usafiri duniani,ni usafiri wa gharama nafuu,ubeba mizigo mingi,mizito kwa umbali mrefu.
Kuna aina mbalimbali za usafiri huu kutokana na aina ya mzigo itakayobeba yaani ziko treni za kubeba watu(abiria),ziko za kubeba mizigo kama mafuta,gasi na hata mitambo ja magari.
Shirika la usafiri wa reli Japan(JNR) ndilo lenye mamlakaya kejenga,kusimamia,kuunda aina za reli,treni na kuongoza shughuli zote za usafiri huo.
Shinji sogo raisi wa nne wa shirika hili alizaliwa (14/4/1884) huko niihame Japan.alisomea mambo ya sheria chuo cha Japan mwaka (1906).
Shinji Soho alichaguliwa kuwa Mkuu wa shirika hilo na kuweka mikakati madhubuti juu ya ujenzi mpya wa reli na treni za kisasa kwa kiwango cha kati ambayo itasafiri kilometa (240) kwa saa moja kutoka Tokyo hadi osaka japan na kutumia saa (5)na nusu tu badala ya Massa nane(8) kwa reli na treni za kizamani ambazo walijenga waingereza mwaka (1872) kwa Mara ya kwanza.
Mnamo mwaka 1960 shirika la usafiri wa reli ilizindua reli na treni hiyo ya kwanza huko Tokyo Japan na kufanya mapinduzi makubwa ktk sekta ya usafiri huo,treni iliweza kubeba watu zaidi ya 1000 kwa safari.
Mpaka sasa kuna treni z umeme nyungi zinazikimbia zaidi ya zile za diesel zilizozoeleka kuinekana kwetu afrika.
Treni inayokimbia sana duniani ilizinduliwa huko China na shirika LA CSR Qingdao inayoitwa (Shanghai maglev crh 380A inayotembea kilometa 360 kwa saa moja,ikiwa sawa na kutoka Dar es salaam hadi Dodoma.
Treni hii inafanya kazi baina ya mji wa Shanghai na Beijing China ilizindiliwa mwaka 2013.
Shinji sogo alikufa 3/10/1981 akiwa na umri wa miaka (97).
0 Comments "SHINJI SOGO AFANYA MAPINDUZI YA USAFIRI WA RELI JAPAN"