SAKATA LA DAWA ZA KULEVYA LACHUKUA SURA MPYA





Baadhi ya wasanii na maafisa wapolisi walitajwa kujihusisha na uuzaji,uingizaji na usambazaji wa madawa ya kulevya hivi karibuni na Mkuu wa mkoa Dar es salaam mh.Paul makonda na kuamuru wafike kituo Siku ya pili  kwa mahojiano zaidi.

Wengi ya waliotajwa kuhusu madawa wakiwemo wema sepetu,child Benz,nay wa mitego,nyandu toz,tid,tunda,babuu wa kitaa,ray c,Vanessa mdee walifika kituoni Ila walikamatwa na kuwekwa ndani na hawakuwa na dhamana.

Waziri wa habari,michezo,sanaa na utamaduni mh.Nape nnauye amesema swala la  ukamatwaji wa watu wanahohisiwa kutumia,kuuza na kusambaza madawa hayo itumike busara sana ktk kuwataja na kuwakamata kwani wengine no waathirika wa utumiaji wa madawa hayo kama ray c,chid  Benz.


Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "SAKATA LA DAWA ZA KULEVYA LACHUKUA SURA MPYA"

Back To Top