KONDAKTA WA DALALA TANGA AHOFIWA KUFA KUTOKANA NA KIPIGO CHA WANAJESHI

Kondakta wa daladala anae ishi mkoani tanga na kufanya kazi zake baina ya eneo la  nguvumali na raskazone bwana Salim kassim emehofiwa kufa kwa kutokana na kipigo cha wanajeshi wa eneo hilo.

Chanzo cha ugomvi huo uliosababisha kondakta huyo  kupata kipigo hicho hadi  kupoteza uhai mda mchache baaada ya kuachiwa kutoka kambini humo ambapo aliingizwa na kufanyiwa tukio hilo  hakijajulikana.

Wananchi wanaoishi jirani na kambi hiyo wamelalamika kwa kusema sio mara ya kwanza kwa kwa watu kuchukuliwa kutoka uraiani na kuingizwa ndani na kupigwa na wanajeshi hao.


Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "KONDAKTA WA DALALA TANGA AHOFIWA KUFA KUTOKANA NA KIPIGO CHA WANAJESHI"

Back To Top