Shirika kubwa la ndege la nchi ya kairabu lijulikanalo kama qatar airways lenye maskani yake doha nchi nchini qatar ktk falme za kiarabu(U.A,E) wameamua kuanzisha na kuzindua safari ndefu zaidi ya ndege zao za abiria kutoka doha qatar hadi visiwa newzealand mji wa aucklandbahari ya pasifiki,
Safari hiyo ya kilometa elfu kumi na nnemia tano thelathini na tano(14535) sawa na maili (9032) imechukua masaa kumi na sita na dakika ishirini ( saa16 na dakika 20) moja kwa moja kutoka doha hadi newzealand.
0 Comments "QATAR AIRWAYS WAANZISHA SAFARI NDEFU ZAIDI KWA NDEGE YA ABIRIA KUWAHI KUFANYIKA DUNIANI"