FARMAJO ACHAGULIWA KUWA RAIS WA SOMALIA

Mohamed abdullah farmajo achauguliwa kuwa rais mpya wa somalia baada kuwashinda wapinzani wake akiwemo rais aliepita hassan sheikh na Sharif Ahmed ambao walishashika vyeo hivyo.
Farmajo ambae alishawahi kushika cheo cha waziri Mkuu huko nyuma,ameshinda urais kwa kura 184 kuliko hata raid aliyetoka hassan sheikh ambae alipita kwa kura 97 tu. Ili kulinda usalama kabla na baada Uchaguzi walinzi wamezuia hakuna ndege kupita ktk anga la  Mogadishu na kukwataza msongamano wa magari ili kuondoa na kuzuia vitendo vya kigaidi vinavyoweza kufanywa na Al shabab!
Somalia na ethiopia zilitawaliwa na italia.
Serikali ya somalia imekuwa ikiongozwa kwa wasiwasi wa kushambuliwa na makundi ya kigaidi na kufanya shughuli zake nyingi kufanyiwa nchi ya jirani ya Kenya.


Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "FARMAJO ACHAGULIWA KUWA RAIS WA SOMALIA"

Back To Top