JPM AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA UWANJA WA NDEGE

Rais  wa jamhuri wa muungano wa Tanzania mh.john pombe Joseph magufuli amefanya ziara ya kustukiza uwanja wa ndege wa dar es salaam.

Ziara hii imefanya kwa Mara ya pili sasa ndani ya miaka hii miwili baada ile aliyofanya kwa kustukiza mei 13/2016 na kugundua dosari za kutofanya kazi kwa mashine za kukagulia mizigo na wasafiri kwa muda wa miezi miwili mfululizo na kufanya ukaguzi wa aina yeyote kwa wasafiri wala mizigo kitu ambacho no hatari kwa usalama wa nchi.

Lakini pia aligundua ubovu na dosari za jengo la wasafiri  namba moja na kuagiza kukarabatiwa Mara moja.

Jana jioni raid alikwenda kukagua maendelea ya jengo la la  wasafiri namba tatu ambao ulisimama hivi karibuni kwa kukosa maelewano ya malipo yake  kabla kuendelea zaidi,rais alikosoa ubora wa jengo hilo  na kiasi kikubwa cha pesa kinachotumika kujenga jengo hilo  na kulinganisha na daraja la  kigamboni kuwa ni  bora zaidi.
Hata hivyo rais ameagiza ujenzi huo kuendelea haraka na pesa za mkandarasi zitalipwa hivi karibuni.


Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "JPM AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA UWANJA WA NDEGE"

Back To Top