Ajali ya lori iliyotokea mkoani mwanza Jana 8/2/2017 imesababisha Vifo vya mama mjamzito na mumewe ambao walikua ktk usafiri wa baiskeli kandokando ya barabara kuelekea hospitali.
Tukio hilo limetokea pembezoni mwa jijini mwanza ambapo lori lenye kontena nyekundu ya futi 40 iliacha njia ikiwa inakwepa gari nyingeni iliyokua inakuja mbele ikionyesha kufeli breki na kuataka kugongana uso kwa uso,hata hivyo ni kontena na bodi ndio iliyoachia kichwa na kichwa kubaki salama. Mama mjamzito,mume wote walipoteza maisha papo hapo.
0 Comments "LORI LAUA MAMA MJAMZITO NA MUMEWE"