Wiki tatu sasa polisi wa mji wa paris ufaransa wamekuwa wakipambana na makundi ya vijana wanaotapakaa kila kona ya mji huo,sababu ya kuingia mitaani kwa makundi hayo ya vijana ni kupinga kitendo cha baadhinya polisi walimpiga kijana mweusi na kunyanyasa kijinsia kwa kumlawiti (theo) huyo kwa kisa.Zaidi ya waandamanaji 2300 wamekuwa mitaani kwa wiki tatu mfululizo huku wakibomoa majengo,wakivunja maduka kuchoma moto magari,watu 13 wamekatwa na mia mbili hamsini 250 wameumizwa.
Wafaransa wengi wamechukizwa na kitendo cha polisi hao kunyanyasika kwa wahamiaji na kuwafanyia vitendo kinyume na haki za kibinadamu.


0 Comments "POLISI WA PARIS WAPIGA WAANDAMANAJI"