SHEREHE ZA KUGOMBEA KIJITI UCHI ZAENDELEA JAPAN

Sherehe za kimila kwa nchi na watu wa japan maarufu kama (hudaka matsuri) naked festival,sherehe hii usheherekewa kila jumamosi ya mwisho wa mwezi wa februari kila mwaka. watu wa japan wanaume watupu huingia ndani sehemu maalum wakiwa wamevaa nguo fupi nyeupe,pinki au nyekundu kichwani na ktk sehemu nyeti tu,nguo hizi ifahamiaka kama

 (fundosh) na kaunza kukimbiza kijiti maalum ili kukipata.

Inaaminika kwa mila za kijapani sherehe hizo zinzkusudio la kuondoa mikosi na nuksi kwa watu kwa mda wa mwaka mzima,makundi makubwa ya wanaume hukusanyika mahala pamoja na kuanza kugombania kijiti cheupe hadi mmoja wao akipate.

Share :

Facebook Twitter Google+ Lintasme

Related Post:

0 Comments "SHEREHE ZA KUGOMBEA KIJITI UCHI ZAENDELEA JAPAN"

Back To Top