NICOLAS SARKOZY KUSHATAKIWA KWA MATUMIZI MAKUBWA YA PESA KTK KAMPENI ZA UCHAGUZI

Aliyekuwa rais wa ufaransa kwa mwaka (2007-2012) anaejulikana kama Nicalas sarkozy ametuhumiwa kwa matumizi ya pes nyingi wakati wa uchaguzi wa mwaka 2011 ulifanyika nchini humo,kiongozi huyo wa umma alitumia zaidi ya dola milioni ishini na nne (24$)  sawa na euro milioni kumi nane kwa ajili ya uchaguzi huo kitu ambacho ni kukiuka katiba ya nchi kwa kutumia mara mbili ya pesa alizotakiwa kutumia ktk uchaguzi huo.

Huyu atakuwa kiongozi wa pili kukutwa na makosa hayo ya kutumia pesa za umma kwa kiasi kikubwa kwa manufaa yake binafsi baada ya rais aliyekuwepo kabla yake Jacque shirac aliyeachia madaraka mwaka 2011.

Kesi ya Nicolas sarkozy iko mahakamani inaendelea na ikikutwa na hatia basi atahukumiwa kifungo,kiongozi huyu ambae alishindwa ktk uchaguzi huo na kufuatiwa na rais wa sasa anejulikana kama Francois hollande,Nicolas sarkozy alizaliwa (28/1/1955) kwa sasa ana umri wa miaka 62.


Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "NICOLAS SARKOZY KUSHATAKIWA KWA MATUMIZI MAKUBWA YA PESA KTK KAMPENI ZA UCHAGUZI"

Back To Top