MZIMU WA SADDAM HUSSEIN WAITAFUNA IRAQ

Kumeshuhuduiwa maandamano makubwa mjini baghadad ktk viwanja vya kijani (green zone) ktk kile kinachodaiwa kupinga utawala ulikuwepo madarakani na kutakan serikali kutaja tarehe na mwezi maalum kwa uchaguzi ujao.

Raia wa nchi ya iraq mara kwa mara wamekuwa wakingiia ktk viwanja hivyo kwa madai tofauti ya kutaka dmokrasia,toka kungolewa kwa utawala wa kidikteta wa Saddam hussein mwaka 2003 kwa kuvamiwa na majeshi ya marekani na washirika wake wa NATO na kumakamata kisha kumfungulia mashtaka na baadae kunyongwa kabisa.

Saddam hussein mzaliwa wa wa mji wa tikrit huko iraq aliondolewa madarakani kwanguvu kwa kuhisiwa kuwa anamiliki silaha za maangamizi na aliyekua raias wa marekani kipindi hiko cha 2000-2008  George william bush,iraq imekuwa nchi ya machafuko na mauaji kila mara kutoka na makundi mawili yanayotaka kutawala chin hiyo yaani kwa upande wasuni upande wa sadam na washia na muqtada al sadr.

Washia wamekuwa wakitawala nchi hiyo toka kuondolewa kwa chama tawala cha saddam hussein kilichojulikana kama BAATH,Kumeripotiwa  kufa kwa watu kadhaa na kuumia zaidi ya hamsini (50) kutkana na fujo hizo zinazoendelea mjini baghadad.

Rais wa sasa anajulikana kama Fuad masum ndio anayetuhumiwa kwa kukaa madarakani na hataki kutaja tarehe za uachaguzi,iraq ni miongoni mwa mataifa yalikimbiwa na idadi kubwa ya watu kutokana na viteno vya kigaidi na maisa magumu kwa raia.

Wako waliwahi kusema kuwa waarabu ni watu wa kuatawaliwa kwa mkono wa chuma kwani demokrasia kwao sio kitu na waaningia ktk matatizo,mambo hayo yanathibitishwa na nchi zote walipotolewa viongoziwaliopo zimeingia kwenye vita na machafuko ya kudumu mfano uraq,yemen,afghanstan,syria n.k.


Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "MZIMU WA SADDAM HUSSEIN WAITAFUNA IRAQ"

Back To Top