NDEGE IENDAYO KASI ZAIDI YA XB-1 BABY BOOM SUPERSONIC BUSINESS CLASS JET

Ziko ndege aina nyingi kwa ajili ya matumizi kama za kivita,kubeba mizigo maalum,abiria zenye ukubwa,spidi,uwezo,maumbile tofauti kulingana na aina na kusdio la kutngenezwa kwake,lakini wataalam wa teknologia wanaangalia zaidi ndege itakayoweza kufika mahali kokote duniani kwa mda mfupi zaidi.

Kampuni ya Eurospace kupitia teknologia ya (BOOM) imezamilia kutengeneza ndege ya Concord supersonic kwa ajili ya wafanyabiashara ambao wao siku zote ka wanasema (Time is money) wanahitaji kutumia muda kwa umakini kwa mambo ya msingi sana. kampuni hii imekusudia kuleta ndege ndogo itakayokimba zaidi na kufika popote kwa mda mfupi.

Ndege hii itakuwa na uwezo wa kuchukua abiria arobaini na tano tu na(45) nna itakuwa na uwezo wa kusafiri zaidi ya kilometa elfu mbili na thelethini na tano kwa saa moja (2335 kilometer per hour) ni sawa na kutoka Mji wa New york marekani hadi mji wa London uingereza kwa saa tatu na dakika ishirini na nne tu(3hrs and 24 minutes) kwa gharama ya dola elfu tano tu (5000$)

Share :

Facebook Twitter Google+ Lintasme

Related Post:

0 Comments "NDEGE IENDAYO KASI ZAIDI YA XB-1 BABY BOOM SUPERSONIC BUSINESS CLASS JET"

Back To Top