WEMA SEPETU AKIMBILIA KUWA KAMANDA WA CHADEMA

Wema isac  sepetu ambaye aliwahi kuwa miss na kwasasa ni mwigizaji wa filamu amewashangaza watu baada ya kuamua kuachana na chama cha CCM na kuhamia chama chama cha upinzani cha (CHADEMA) hivi karibuni siku chache tu baada ya kukutwa  na tuhuma la sakata juu ya madawa ya kulevya kulikosababishwa kushikiliwa kituo cha polisi kikuu kwa siku kadhaa kwa mahojiano kisha kuachiwa.

Wema sepetu alisema uamuzi wake huo wa kuahamia chama hiko uko sahihi na anasikitika sana kwanini alichelewa kufanya maamuzi hayo kwani alikokuwepo mwanzo amepoteza mda.


Share :

Facebook Twitter Google+ Lintasme

Related Post:

0 Comments "WEMA SEPETU AKIMBILIA KUWA KAMANDA WA CHADEMA"

Back To Top