
Hii inamaana kuwa ule msemo usemao kwamba sayari pekee ambayo viumbe hai wanaweza kuishi ni dunia pekee utafutika karibuni baada ya kuonekana baadhi ya sayari saba kuanza kubadilika kitabia hasa ile ya kuafanya maji yake yaliganda kwa miaka mingi kuanza kuyeyuka taratibu na kuwa kimiminika ambayo ndio maji ambayo wanadamu,wanyama kuweza kutumika kwa urahisi kuendeleza uhai wa viumbe.
Hapo awali ilisemekana sayari pekee na angalau wanadamu wanaweza kwenda kuishi hapo baadae ilikuwa ni sayari ya mars baada kuonekana kuna dalilin za kupata maji,utafiti huu unakuja kwa kuzingatia kuwa wataalam wametabiri kuwa kutokana na mabadiliko ya tabia ya dunia basi itafika mahali watu hawatoweza kuishi tena hapa hivyo ni muhimu kuwepo kwa sayari nyingine kwa kukimbilia na kuishi huko.

0 Comments "NASA WAGUNDUA SAYARI SABA KUWA NA TABIA YA DUNIA"