Kipande cha geti ikiwa kama sehemu ya mlango mkubwa wa chuma ulikuwa ktk moja ya jela ya mateso ijulikanayo kama (dachau) wakati wa utawala wa Dikteta Adolf hitler alieitawala ujerumanikwa mkono wa chuma mwaka 1933-1945 baada yan kushindwa ktk vita kuu ya pili ya dunia.
Sehemu hii ya malango yenye uzito wa kilo mia moja na nane (108) na urefu wa futi sita nukta kumi nan nne(6.14) kilipotea mwaka 2014 na kutoonekana tena hadi kilipotafutwa na kukutwa tena ktk nchi ya Norway,jela au kambi hii ya mateso ya Dachan ilitumika kuweka wafungwa wa kiyahudi na wengine zaidi laki mbili 200000 n hiia walikufa watu elfu arobaini na moja 41000k ktk kambi hii kutokana na mateso makali yaliokuwa yanatolewa na askari wa kinazi(nazi) chidi ya utawala wa Adolf hitler.
0 Comments "KIPANDE CHA GETI KILICHOIBIWA KUTOKA JELA YA MATESO UJERUMANI CHAPATIKANA"