MUGABE AMEAPA KUITAWALA ZIMBABWE AKIWA KABURINI

Rais wa zimbabwe Robert Mugabe ameapa kuitawala nchi ya zimbawe hata ikiwa atakuwa hawezi kutembea basi atakuwa amebebwa ktk kiti cha maguruduu na mkewe bibi grace  atamsukuma na aliongeza kuwa hata ikiwa atakufa kabla ya uchaguzi basi wananchi wampigie kura siku ya uchaguzi ili wadhihirishe mapenzi yao makubwa kwake na ataitaala nchi akiwa huko huko kaburini.
Robert mugabe ambae alizaliwa tarehe 21/2/1924 huko kutama nchini humo anasubiri siku chache zijazo ili asheherekee siku maalum ya  miaka 93 toka kuzaliwa kwake,mugabe ambaye alianza kuitawal nchi hiyo baada ya mapinduzi ya vita kuwashinda waingereza mwaka 1980 anaonekana kama kiongozi dikteta mbele ya wazungu baada ya kwafukuza wakulima wengi hii ya kuwafukuza wakulma wa kizumgu walikuwa wanamiliki mashamba makubwa na sehemu kubwa ya ardhi ya nchi hiyo ndogo ya kusini mwa afrika n a kuwaacha watu weusi wazawa waiwa hawana mahali pa kulima wala kujenga.

Hatua hii ya kufukuza wakulima hao mika ya 2000 limuweka kwenye wakati mbaya sana Mugabe kwa nchi za ulaya na marekani kwa kumuona kama diktta,lakini ugabe amekuwa akibadili katiba ili kuweza kutawala nyakati zake kupitia chama cha cha ZANU PF.

Zimbabwe imekuwa nchi masikini,ukosefu wa chakula ,mfumuko wa bei,watu kukimbia nchi,kakandamizwa kwa upinzani,demekrasia na hakiza kibinadamu,pia mugabe amekuwa akijulikana kwa lugha na maneno ya kiburi,jeuri,kejeli na vitisho na majigambo kwa wazungu wote akiwa ktk mikutano ya hadhara.

Liko jarida ambalo hufanya kazi ya kutabiri sababu na vifo vya watu maarufu duiani watakaokufa kwa mwaka husika basi mwak 2016 Robert Mugabe alitolewa ktk orodha ya watakao kufa mwishonimwa mwaka huo lakini alifanikiwa kuvuka.

Hali ya kiongozi huyu kiafya si nzuri kwa mda mrefu anakuwa haonekani hadharani badala yake humtum mkewe kwenda ktk mambo mengi,matatizo yake mengi yanasababiswa na umri mubwa alionao(uzee) na amekwa akianguka mara kwa  mara,kulala hovyo ktk mikutano.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "MUGABE AMEAPA KUITAWALA ZIMBABWE AKIWA KABURINI"

Back To Top