Rais wa gambia aliyechaguliwa hivi karibuni na kushinda uchaguzi huo Bw.Adam barrow ameonekana kwa mara ya kwanza nje toka kuingia ilkulu pale aliyekuwa rais wa taifa hilo Bw. Yahaya jammeh kukimbia nchi hiyo baada ya onyo utoka umoja wa nchi za afrika magharibi kumwambia ikiwa atakataa kuachia madaraka kwa hiari basi watatumia jeshi kumwondoa kinguvu.Jana kiongozi huyo Rais Adama barrow alionekana hadharani kwa mara ya kwanza na kuwasalimu wananchi wake njiani,Adama barrow ambae aliachiwa serikali hiyo ikiwa haian pesa kabisa baada ya Yahaya jammeh kchukua kiasi chote cha pesa kilichokuwepo hazina.
Wananchi wa gambia wanaweka matarajio makubwa kwa kiongozi wao huyu mpya waliomchagua mwishoni mwa mwaka 2016.

0 Comments "ADAMA BARROW AONEKANA KWA WANANCHI "