KONTENA ZAGEUZWA NYUMBA UINGEREZA

Kutokana na ugumu wa hali ya maisha ktk uchumi wa watu diniani,huko london uingerza watu wamegundua njia rahisi na ya haraka ya kupata makazi ya kudumu na uhakika hasa ktk mji huo ghali ktk maisha duniani kwa kununu makontena kisha kubuni vyumba ndani kwa ajili ya kuishi.

kontena moja la futi 20-40 linauzwa kwa dola 2000 na kuendelea ambayo sawa na shilingi  milioni nne(4000000) za kitanzania,makontena yanayonunuliwa na kutumika kwa kazi ya kutengeneza makazi hasa maeneo ya london mashariki ni yale yalio na dosari ndogo hivyo mashirika kama maersk,msc,hanjin ambayo uamua kuyauza kwa watu binafsi kwa ajili ya matumizi ya kuweka vibanda vya duka na makazi kwa watu wasiojiweza kiuchumi ktk kujenga.

Ktk miji mikubwa na iliyoendelea kama london,paris,new york,zurich,berlin maisha yako juu sana ktk vyakula,afya,makazi na hata vyakula hivyo watu wenye vipato vya kati uamua kubuni nyumba za mbao na kontena ambazo zinaweza kuhama kwenda popote pale.



Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "KONTENA ZAGEUZWA NYUMBA UINGEREZA"

Back To Top