MJUE ARNOLD ALOIS SCHWARZENEGER

Jina kamili ni arnold alois schwarzeneger alizaliwa( july 30 1947) huko austria bara ulaya,kwa sasa ana umri wa miaka( 70),arnod shughuli iliyomfanya kujulikana ulimwengumi ni ya kuigiza filamu toka mwaka (1969) ktk hercules in new york.
Kazi nyingine anazofanya ni kutaarisha filamu,mfanyabiashara,mwekezaji,mwandishi,mwan naharakati,mtu wa kunyanyua vitu vizito lakini pia ni mwanasiasa ambae kwa sasa ni gavana jimbo la california nchini marekani kupitia chama cha republican'
Arnold ameoa maria shriver mwaka 1986 hadi 2011,wazazi wa arnold ni mama anafahamika kama aurelia jadmy,baba schwaerneger gustavu,alijaliwa kupata watoto wawiliambao ni patrick na katherine.
Bwana mkubwa huyu ana urefu wa futi( 6.2ft),kwa sasa anakadiliwa kuwa na utajili wa dola milioni mia tatu( 30000000) za kimarekani kutokana na mauzo ya kazi zake za filamu.
Ameshapokea zawadin na tuzo nyingi za dhahabu kutokana na ucheazaji wake bora ktk filamu hizo.
Amecheza filamu zaidi ya 30 kama commando 1985,predator 1987,teminator series 1984,conan 1984,stay hungry 1976,total recall,true lies,the long goodbye 1973,expendables,the last stand 2012,the last action hero na nyinginezo nyingi.Mchango wake kwenye tasnia hii ya filamu hautofutika wala kusahaulika kamwe,






kwasasa arnold bado kama gavana wa jimbo la calfornia.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "MJUE ARNOLD ALOIS SCHWARZENEGER"

Back To Top