Utawala wa kiongozi mpya wa marekani unaonekana kuwa na wakati mgumu,ni baada ya iran kujaribu makombora mawili ya masafa marefu na kusema wao wanafanya hivyo kwa sababu za kiusalama wa ndani ndani lao na sio kwa kuvunja makubaliano na masharti ya umoja wa mataifa ua ulaya kuhusu mpanngoia wa vyuklia ambao irani anakanusha juu ya kutengeneza au kumiliki silaha za kinyuklia.
Iran inasisitiza kuwa anatumia nyuklia kwa ajili ya matumizi ya kuzalisha nishati ya umeme tu na si vyenginevyo.kwa kitendo kilichofanywa na irani kimesababisha kwa rais trump kuiwekea iran vikwazo vipya 13 kwa amakampuni ya kibiashara ya iran na watu 12 wamezuiwa kuingia marekan.
Nchi za iran,urusi na korea ya kaskazini zimejikuta zikiwekewa vikwazo vya kiuchumi mara kwa mara kutokana na matumizi ya nguvu za kinyuklia.

0 Comments "IRAN YAONYESHA JEURI KWA MAREKANI KWA KUJARIBU MAKOMBORA MAWILI YA MASAFA MAREFU "