MANJI AKIMBIZWA MUHIMBILI HOSPITALI

Mfanyabiashara  na mwenyekiti wa klabu ya yanga Yusuph manji leo mapema alizidiwa ghafla akiwa rumande anaposhikiliwa toka wiki iliyopita siku ya alhamisi.

Hali ya manji ilianza kubadilika ghafla akiwa ndani ya kituo hiko na aikueleweka kwanini ilitokea hivi,hivyo ikalazimu kukimbizwa kituo cha polisi haraka kwa uchunguzi zaidi.

Ni zaidi ya

iki sasa yusuph manji anashikiliwa kituo kikuu cha polisi mjini na wenziwe kama mchungaji gwajima,idd azan,wema sepetu,chid benz na tid wakiwa wameachiwa huru.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "MANJI AKIMBIZWA MUHIMBILI HOSPITALI"

Back To Top