MADAKTARI SABA WAHUKUMIWA KIFUNGO KENYA

Baada ya mgomo wa madaktari mkubwa ulifanyika hivi karibuni nchini kenya kwa kudai haki zao za msingi kutoka serikalini pamoja na nyongeza y a mshahara ambao unalalamikiwa kuwa ni mdogo sana na hauendani na hali halisi ya maisha pamoja na uchumi.

Serikali ya kenya leo imewahukumu madaktari saba (7) kufungwa kifungo kisichopungua mwezi mmoja kwa kosa la kuhamasisha na kuitisha watu ktk maandamano makubwa yalioitia hasara serikali na kuleta usumbufu kwa wananchin waliokuwa wanahitaji huduma kutoka ktk hospitali mabalimbali hasa jijini nairobi.

Madktari hao wamekutwa na makosa hayo na hakimu wa serikali aliyekuwa akiendesha kesihiyo,si mara ya kwanza kwa madaktari na walimu kufanya migomo kwa serikali wakidai maslahi mazuri ya kazi zao.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "MADAKTARI SABA WAHUKUMIWA KIFUNGO KENYA"

Back To Top