
Mpaka wa mexico na marekani ndio mpaka ulio na shughuli nyingi za kiabiashara usiku na mchana kwa mda wote wa mwaka hivyo kufanya kuwa mpaka unaolindwa sana kuliko mipaka yote duniani,wauza madawa wamekuwa wakitumia njia nyingi ktk kuingiza madawa ya kulevya ndani ya marekani licha ya maafisa nao kufanya juhudi za kutosha kuzuia baishara hiyo haramu wamejikuta wakizidiwa kwa mbinu mpya na wauza madawa hayo kama kutumia njia nhiyo ya manati.
0 Comments "MANATI KUBWA YA KURUSHIA MADAWA YA KULEVYA YAGUNDULIKA MPAKA WA MEXICO NA MAREKANI"