
Rais huyo wa benki ya maendeleo ya afrika ameonesha nia yake ya kusaidia ktk sekta ya nishati ya umeme nchini amabayo bado inaonekana kulegalega sana kwa upatikanaji wa umeme wa umeme haswa maeneo ya vijijini.
Licha ya kuwa na vyanzo vingi vya kuzalisha umeme kama maji ktk mabwawa ya mtera,kidatu,kihansi na nyumba ya mungu,kuwepo na gesi kwa mikoa ya lindi(songosongo),mtwara(mnazi bay na msimbati) bado nchi inakubwa na tatizo la upatikanaji wa nishati hiyo muhimu ya umeme kwa matumizi ya kawaida na hata ya viwanda kwa maendeleo ya nchi na uzalishaji wa uhakika.
0 Comments "JPM AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS BENKI YA AFRIKA"