
Uongozi wa juu wa maswala ya elimu umekusudia kuwashusha vyeo wakuu wote wa shule ambazo zimefeli na kufanya mkoa wa dar es salaam kushika mkia kwa kuwa na shule sita ikiwemo somangila,kidete,kitonga,nyeburu,mbopo,mbondole.
Wakuu wa shule hao wanashushwa vyeo kwa kutokana na kuonekana matokeo mabavu yametokana na uongozin dhaifu,mbovu na usio makini ktk kusimamia swala hilo la elimu kwa walimu na wanafunzi kiujumla.
Hali hi pia ilijitokez mkoani mtwara ktk matokeo ya kidato cha pili,darasa saba na nne na kuagizwa kushushwa vyeo kwa wakuu wa shule za msingi zaidi ya (60).
0 Comments "KIZAZAA CHA MATOKEO MABOVU KIDATO CHA NNE DAR CHAPONZA WAKUU WA SHULE KUSHUSHWA VYEO"