JECHA NA MAALIM SEIF SHARIF HAMAD CHUI NA PAKA

Toka kutangazwa kwa mshindi wa uraisi kwa tiketi ya chama cha mapinduzi mh.mohamed shein kwa uchaguzi wa marudio ambao ulitokana na kkufutwa kwa matokeo ya awali ambayo chama cha wananchi cuf kudai kushinda uchaguzi huo.
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi bwana jecha yeye alitangaza kufutilia mbali matokeo hayo kwa kusema yalikua na kasoro nyingi zenye utata ndipo mgogoro mzito baina yake na maalim seif shariulipoanzia na kusasia uchaguzi wa marudio.
f
Hii ilitokana na shutma za maalim juu ya jecha kwa kumuona jecha alifanya vile kwa shinikizo la viongozi wa juu ili kuhakikisha chama tawala kinashinda uchaguzi kwa njia zisizo halali.
Maalim seif ambae amehudumia chama hicho kwa miaka mingi kuanzia mwaka 1995 wakati wa uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi ulipoanza,maalim pia alishashika nyadhifa ya makamu wa raisi wa kwanza toka mwaka 2010.
Imefika mahali jecha anapomuona maalim yupo eneo fulani anakimbia hata ktk vyombo vya usafiri,amesema maalim seif kuwa yeye hana ujamaa,undugu wala urafiki na jecha kwa namna yeyote ile,lakini pia maalim amemshutumu prof.lipumba kwa kuendelea kuchochea mgogoro ktk cha kwa kugawa wanachama,
anasema yeye hakuambiwa kuacha chama na kujiuzulu kwani wazee na viongozi wa dini walimsihi sana asifanye alichokifanya ila hawakuwaelewa na akaamua kujiuzulu mwenyewe.Wao wanamchkulia jecha kama msaliti wa chama aliekuwa na nia mbaya kabisa.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "JECHA NA MAALIM SEIF SHARIF HAMAD CHUI NA PAKA"

Back To Top