ANGELA MARKEL KUTEMBELEA UTURUKI

Kansela wa ujerumani kansela Angela markel anakusudia kutembelea nchi ya uturuki alhamisi ya wiki hii.
Kikubwa kinachomfanya kwenda nchini uturuki ni  kuzungumzia mahusiano yake na taifa hilo,swala LA ugaidi,nyanja za uchumi na mambo ya wahamiaji wanaotaoka nchi za syria,Iraq ambapo kuna machafuko hadi baada ya nchi za ulaya na marekani kuingilia kijeshi tawala hizo.
Mwenyeji wa Angela markel raising wa uturuki Erdogan tayyip ambae naonekana na mataifa ya ulaya na marekani kuwa anatawala kwa mkono wa Chuma yaani udikteta kwa ule ubabe anao onyesha kwa nchi ya urusi na hata vyama pinzani.
Tayyip erdogan ambae amanusurika na na jaribio la  kupindua serikali yake  lakini lilifeli na kusababisha wanajeshi kadhaa kuuwawa na wengine kufungwa.
Uturuki ni  inayoomba kuingia nchi za umoja ulaya kwa mda mrefu sana bila kufanikiwa.
Nchi hii ina  hivi karibuni imekuwa na mahusiano mabaya na taifa  la urusi kutokana na mgogoro wa Syria,kuangushwa kwa ndege ya kivita,kuuwawa kwa balozi wa urusi nchini humo.
Nayo uturuki inaishutumu urusi kwa kupanga na kuratibu mapinduzi yaliyofeli na kuingilia mambo ya ndani ya ya nchi hiyo.


Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "ANGELA MARKEL KUTEMBELEA UTURUKI"

Back To Top