BAADHI YA HALMASHAURI ZAONYESHA DALILI ZA UPUNGUFU WA CHAKULA

Serikali imesema wazi kuwa hakuna eneo lenye njaa kwa asilimia kubwa bali  ziko halmashauri zipatozo(55) zenye viashilia vya kuwepo na upungufu wa chakula.
Hali hii ya kukosa chakula kwa baadhinya maeneo inatokana na kuchelewa na kusuasua kwa unyeahaji wa mvua mwishoni mwa mwaka 2016 na haya mwanzoni mwa mwaka 2017 na kusababisha kuchelewa kwa kupandwa  kwa mazao ya msingi ya chakula kama mahindi,mihogo,Maharagwe na kufanya kuwa na upungufu ktk upatikanaji wake kwa matumizi.
Lakini ndani ya wiki mbili hizi za mwisho wa mwezi huu wa kwanza kumeshuhudiwa kunyesha kwa mvua kwa mikoa ya shinyanga,simiyu,mtwara kitu ambacho kinaleta matumaini kwa wakulima.
Baadhi ya maeneo nchini bado yanaonekan kuwa kame na kuleta upungufu huo wa chakula kwa maeneo hayo,mikoa kama ya morogoro na wilaya zake za mvomero,ulanga bado kuna tatizo hilo.,mikoa ya Kilimanjaro,manyara,arusha wao wamekana kuwepo kwa baa njaa kwa maeneo yao.


Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "BAADHI YA HALMASHAURI ZAONYESHA DALILI ZA UPUNGUFU WA CHAKULA"

Back To Top