KAMPUNI ZA TOSHIBA NA ROLLS ROYCE ZAPATA HASARA KUBWA

Kampuni za Toshiba ya japan na Rolss royce la nchini uingereza ambazo zinzjihusisha na utengenezaji wa vifaa vya umeme,mitambo,magari na mashine za aian mbalimbali duniani zimekili kuapata hasara kubwa ktk mauzo.

Wasimamizi wa makampuni hayo makubwa duniani yamefanya tathimini juu ya kushuka kwa mauzo hayo ktk bidhaa zao zote ikiwemo na kujenga miundombinu na mitumbo ya nyuklia ya kuazalisha nishati ya umeme,utengenezaji wa injini za ndege.

Toshiba wamepata hasara ya dola za kimerekani zaidi ya bilioni (6.3) na rolls royce zaidi ya dola bilioni (5.8).



Share :

Facebook Twitter Google+ Lintasme

Related Post:

0 Comments "KAMPUNI ZA TOSHIBA NA ROLLS ROYCE ZAPATA HASARA KUBWA"

Back To Top