IJUE NYUMBA YA GHARAMA YA JUU ZAIDI KUWAHI KUWEPO MAREKANI

Tushapata kusikia vitu vingi vinavyomilikiwa na matajiri duniani lakinim moja ya vitu hivyo ni nyumba,ziko nyumba za gharama ya juu zaidi ambazo zinzmilikiwa na watu maarufu,wanamichezo,waigizaji,wanamuziki na hata viongozi wa serikali na mashirika bianafsi.

Miongoni mwa watu maarufu wenye nyumba za thamani ni kama vile waigizaji wa filamu kama Rambo,angelina jolie,Bradpitt,Michael jackson,marc antony,Jennifer lopez lakini pia wachezaji wa mpaira wa miguu na aina mbalimabali za nmiachezo miongoni mwa watu wanamiliki nyumba za kifahari ktk miji na nchi nyingi duniani,
nyumba imejengwa huko Los engeles.

Kwa mwaka 2017 huko marekani imejengwa nyumba ambayo imetambulika kuwa ndio nyumba iliyotumia gharama kubwa ya pesa na nzuri zaidi kuliko nyumba zote zilizo ndani ya marekani,nyumba hii imetumia miaka minne (4) mpaka kumalizika yani kuanzia mwaka 2013 na kumalizika 2017.

Gharama ya jumla ujenzi wa nyumba hii na vifaa vyake imetumika Dola milioni mia tatu za kimarekani (300)sawa na pesa za kitanzania shilingi bilioni mia sita tisini(690000000000),gharama zake ni kujumuisha na ununuzi wa Helkopta kwa dola milioni 30,garia aina ya ferari,lamboguiane,formula 1 na nyinginezo,nyumba hii imetumia watu tofauti kama wajenzi zaidi ya mia tatu 300  ktk ujenzi wa nyumba hiyo.

Imetumia kiwanja chenye ukubwa wa futi za maraba elfu thelethini na nane 38000.ina vyumba 12 vya kulala mabafu 21,vyoo,sehemu ya jiko tatu,sehemu ya kulia chakula,stoo ya vinywaji,gereji,mabwawa ya kuogelea,chumba cha mazoezi,ukumbi wa mikutanao,ukumbi wa mchezo wa bowling,chumba cha kutazama sinema,sehemu ya juu ya kupumzikia ambapo unaona kwa juu mji wa los angeles,chumba cha kujisomea au maktaba,sehemu ya kumbi ya kukutana watu maalum(VIP Room).

Nyumba hii imejengwa maalum kwa ajili ya kibiashara na kama na maonyesho kwa watu watakakuwa wanahitaji kujengewa.
















Share :

Facebook Twitter Google+ Lintasme

Related Post:

0 Comments "IJUE NYUMBA YA GHARAMA YA JUU ZAIDI KUWAHI KUWEPO MAREKANI"

Back To Top