WILAYA ZA LIWALE NA KILWA ZAONGOZA KUTOKUWA NA VYOO MKOANI LINDI

Mkuu mia wa mkoa lindi bwana godfrey wenston zambi amewakumbusha wananchi wa wilaya za liwale na kilwa juu ya kujenga na kuvitumia vyoo baada kuona wilaya hizo zinz tatizo la wananchi wake kutotumia vyoo kwa kiwango kikubwa.
Hii imekuwa kawaida sana hasa kwa jamii zinazoishi kandokando ya bahari au pwani kutokuwa na hata kutotumia vyoo,wamekuwa wakitumia fukwe za bahari na vichaka kufanya haja zao.
Hali hii ni ya hatari sana kwani kuna uwezekano wa kulipuka na kuenea magonjwa kama kipindupindu,magonjwa ya tumbo ambayo ni hatari kwa afya na yanaweza sababisha vifo vingi kwa mda mfupi.


Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "WILAYA ZA LIWALE NA KILWA ZAONGOZA KUTOKUWA NA VYOO MKOANI LINDI"

Back To Top