TRUMP AWALIZA VIONGOZI WA DEMOCRATIC KWA SHERIA YA UHAMIAJI

Wamarekani hasa wasio na asili ya nchi hiyo wamebaki na mshangao mkubwa baada kile kilichosemwa ktk kampeni na raisi mteule mr.donald trump kuwa pindi atakapoingia madarakani tu basi atashughulikia swala zimala kujenga ukuta baina ya nchi yake na mexico.
kilicholeta taharuki zaidi ni juu ya wahamiaji haramu ambao wanaishi nchini humo kuambiwa kuwa wanaweza kukosa uraia ikiwa sheria hii itapitishwa,zaidi ya mataifa saba yanayotoka mashariki ya kati watu wake hawatoruhusiwa kuomba uraia marekani.
hii inatokana nakuwa marekani imaamini kuwa vitendo vingi vya ugaidi na ukiukwaji wa haki za kibinadamu unafanywa na watu kutoka huko.
Baadhi ya viongozi wa chama cha democratic wamepinga vikali sheria hiyo kiasi cha kutokwa na machozi hadharani kwa kuona sheria hiyo italeta ubaguzi,machafuko,maandamano na hasan vitendo vya ukiakwaji wa haki za kibinadamu.
Makampumi kama ya google,microsoft,facebook na apple yanapinga vikali juu ya sheria hiyo kwa kuona kuwa wao binafsi wameajili wataalam wengi kutoka mataifa hayo ambayo truph hayataki.
Maandamano ktk baadhi ya miji yanafanyika kupinga hali hiyo.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "TRUMP AWALIZA VIONGOZI WA DEMOCRATIC KWA SHERIA YA UHAMIAJI"

Back To Top