MCHANGA WAGEUKA BIDHAA ADIMU ZANZIBAR

Imeripotiwa kuwa ktk visiwa vya zanzibar(unguja na pemba) bidhaa ya mchanga ambayo mara nyingi unatumiwa ktk mambo ya ujenzi wa majengo na miundombinu mbalimbali umeugeuka kuwa bidhaa adimu sana baada ya kukosekana.
Hali hii ya serikali ya mapinduzi ya zanzibar kupiga marufuku uchimbaji wa aina yeyote ya mchanga ktk visiwa hivyo ili kupunguza na kulinda mazingira kuharibika kutokana mna uchimbaji huo,
Akiongea na vyombo vya habari waziri wa mali asili na utalii mh.hamad rashid amesema serikali imekusudia kutoa vibali vya kuingiza mchanga kutoka nnje ya zanzibar nakuingizwa huko kwa shughuli zote za ujenzi,kufikia jana roli moja la mchanga limefikia bei ya shilingi laki moja(100000) badala ya elfu sitini na tano(65000)
kwa lori.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "MCHANGA WAGEUKA BIDHAA ADIMU ZANZIBAR"

Back To Top