
Magaidi hao kwa walifanikiwa kuua watu sita ambao wote ni jinsia ya kiume,taarifa za awali zinzonyesha magaidi hao wawili wana asili ya nchi ya morocco waliofahamika kwa majina ya mohammed khadir na alexander bissomete.
Mashambulizi hayo yalifanyika ktk swala ya usiku kama ilivyoelezwa na moja wa kit
uo hiko bwana mohammed yangui.
0 Comments "SHAMBULIO LA KIGAIDI KTK MSIKITI MJINI QUEBEC"