
David buruhan ambae ni mtoto wa mchezaji wa zamani wa timu ya pana african da es salaam bwana abdallah buruhan.
Sababu ya kifo cha mchezaji huyo inasemekana kuwa ni homa ya malaria iliyambatana na maumivu ya tumbo ambayo yalianza toka akiwa safarini mkoani shinyanga akitoka ktk kombe shirikisho la azam,ambapo ugonjwwa huo uliendelea kuzid na hata alipofika mkoani kagera ktk kilabu yake hali bado ikaendelea kuwa mbaya zaidi,ndipo ilipoamuliwa apelekwe hospitali ya bugando kwa vipimo na tiba zaidi,hta hivyo jitihada hizo jitihada hizo hazikuzaa matunda mpaka pale mauti yalipo mchukua,buruhan pia alishawahi kudakia timu ya mbeya city ya jijini mbeya,mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
0 Comments "MLINDA MLANGO WA TIMU YA KAGERA SUGAR AFARIKI"