MASOMO SHULE ZA MSINGI YASUASUA BAADA KUCHELEWA KWA VITABU VYA MTAALA MPYA

Taasisi ya elimu yakili kucheleweshwa kwa vitabu vipya kufika nchini kutoka india ambapo ndipo vinapochapishwa,hali hii imepelekea kususua kwa kuanza masomo ya shule yza msingi ambapo vilitakiwa kufika toka januari 2017,mtaala huu mpya kwa shule za msingi na sekondari za kidato cha tano na sita unakusudiwa kuanza rasmi ndani ya wiki mbili zijazo pindi vitakapowasili vitabu hivyo na kusambazwa ktk shule zote nchini alisema bwana elia kibga kutoka taasisi ya elimu.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "MASOMO SHULE ZA MSINGI YASUASUA BAADA KUCHELEWA KWA VITABU VYA MTAALA MPYA"

Back To Top