JANETH JACKSON AJIFUNGUA AKIWA NA UMRI WA MIAKA HAMSINI.

Image may contain: 1 person, standingJaneth jackson dada wa marehemu Michael Jackson amefanikiwa kupata Mtoto akiwa na umri wa miaka 50 kitu ambacho ni nadra sana,kwani wataalam wanasema mwanamke huzaliwa akiwa na mayai ya uzazi yasipungua 300 na kuzidi 600 hivyo huendelea kuondoa yai mojamoja kwa kipindi cha miezi 547.5 sawa na miaka 45 ya uhai wake,kipindi hujulikana kama (fecundity period) wakati huu huweza kubeba mimba na hatimae kupata Mtoto au watoto,baada ya umri 45 na kuendelea huingia ktk kipindi kijulikanacho kama menopause ambacho hapo huwa hana uwezo wa kupata tena mimba wala watoto,Ila kutokana na wingi huo wa mayai ya uzazi baadhi yao huvuka na kufikia hadi miaka 50-55 kwa bahati.mungu awe nae Janeth Jackson,

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "JANETH JACKSON AJIFUNGUA AKIWA NA UMRI WA MIAKA HAMSINI."

Back To Top