MADAWA YA KULEVYA YAMALIZA NGUVU KAZI

Hakuna zawadi kuu ktk ulimwengu ambayo mwanadamu amepewa kama kuletwa ulimwenguni na kuwq na Afya njema,Wataalam wa mambo ya kimaisha wanatuambia kuwa Afya njema na bora kwa mwanadamu ni kitu cha msingi sana ikifutiwa na amani,utashi wote wa mwanadamu hutegemea uwepo wa Afya njema ya kiakili na kimwili(health is the situation whereby person have mental and physical fit),Dunia hasa rika la vijana tunaangamia kwa matumizi ya madawa la ya kulevya,kwa makusudi mtu anaamua kutumia vitu hivi na kuharibu utu wake wa akili na mwili kwa ujumla,akili ni zawadi kuu kwako kijana,hakuna mbadala wa kukubadilishia mwili wala ubongo mwingine ktk kichwa chako,tunasikia watu wanabadilishiwa figo,moyo Ila sijawahi on a ktk akili au ubongo,so kitu ambacho akina mbadala ni vyema kukitunza kwa nguvu zako zote ili kidumu,utu na maamuzi yako mazuri yanatokana na akili yako,tunakubali kifo kimeumbwa kwa aina tatu yaani cha kuugua,kupata ajali ila kuna Vifo vya kukusudia,utumiaji wa madawa haya hakuna tofauti sawa na mtu anaeamua kujinyonga,kunywa sumu au kuchukua panga au silaha yeyote na kujiua.KWA NUKUU ZAIDI ZA KIMAISHA TUKUTANE KTK GROUP LA "UHALISIA KTK MAISHA" facebook

Image may contain: 1 person

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "MADAWA YA KULEVYA YAMALIZA NGUVU KAZI"

Back To Top