TRENI YA ABIRIA YAPATA AJALI MKOANI PWANI

Leo tarehe 29/1/2017 treni ya abiri iliyokuwa ikitokea mkoni kigoma imepata ajali baada kuacha njia na kuangusha mabehewa yapatayo matano.
Ajali hiyo imetokea ruvu wilaya ya kibaha mkoa wa pwani majiara ya saa  11:15 jioni ikielekea jijini  Dar es salaam.
Mashuhuda wa ajali hiyo wamesema kuwa watu baina ya 10-20 walitolewa ndani ya mabehewa hayo wakiwa hawajitbui Ila haijaripotiwa kifo cha mtu  yeyote kutokana na ajali hiyo.
Treni hii delux ni  ile mpya iliyonunuliwa nchini India kwa kuahakikisha wanaboresha usafiri wa reli kwa mikoa ya bara ambayo wakazi wengi  wa huko utumia usafiri huo kutokana na urahisi wake ktk bei.


Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "TRENI YA ABIRIA YAPATA AJALI MKOANI PWANI"

Back To Top