Raisi wa jamhuri wa muungano wa Tanzania Dr.john pombe Joseph magufuli amefanya safari ya kuelekea nchini Ethiopia jana tarehe 28/1/2017 kwa kusudio la kuudhuria mkutano wa nchi za umoja wa afrika (AU).
Mkutano huo unofanyika kila mwaka kwa kuwakutanisha viongozi wote wanachama wa umoja wa afrika ili kuzungumzia maswala mbalimbali yahusianayo na umoja huo.
Raising magufuli amekwenda nchini Ethiopia ktk mji Mkuu Adis Ababa ambapo ndipo makao makuu ya umoja huo yalipo toka kuundwa kwake mwaka 1963.
Akiwa uwanja wa ndege wa mwalimu nyerere raisi magufuli alisindikizwa na kuangwa na makamu wa raisi Ndugu Samoa suluhu hassan,waziri Mkuu Majaliwa kassim majaliwa,Mkuu wa mkoa dar es salaam Paul makonda,kamanda Mkuu wa polisi mkoa dar es salaam simon sillo na baadhibya viongozi waandamizi wa ikulu na serikali.
Hatua hii imeleta mijadala kwa raia na vyama vya upinzani! Kuwa raisi magufuli alishaapa kutosafiri hovyo ktk utawala wake huu.
Ikumbukwe toka kuingia ikulu Nov 5 2015 raisi magufuli ameshatembelea nchi za rwanda,Kenya ikiwa ni nje ya Tanzania na baada ya hapo alikua akizunguka mikoani kwa kuwashukuru wanachi kumchagua ikiwemo mkoa kagera,simiyu,shinyanga,Zanzibar,Dodoma,arusha,manyara,singida na pwani.
Raisi magufuli alisema hatofanya hivyo ili kupunguza bajeti au matumizi makubwa na yasiyo ya lazima kwa serikali yake.

0 Comments "RAISI JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI ASAFIRI KUELEKEA NCHINI ETHIOPIA! "