MJUE DONNIE YEN

Donnie yen mcheza sinema maarufu ktk tasnia hii ya filamu duniani.
Mcheza sinema huyu ambae amezaliwa 27/7/1963 jimbo la guangdong huko guangzhou inchini china,kazi zake hii ya kucheza filamu aliianza ktk mji wa hongkong,kwa sasa ana umri wa miaka (53).
Donnie yen au jina lingine anafahamika kama(yen ji-da) alisoma elimu ya martial arts,uongozaji wa filamu,utengengenezaji wa filamu,lakini pia yeye ni mcheza michezo ya kweli kama karate,taekwondo,kickboxing na kumfanya kufahamika ulimwenguni sana.
mcheza filamu huyu ameoa mara mbili mke wa kwanza alifahamika kama zing ci-leng(1993-1995) na kuachana nae,ilipofika mwaka 2003 alioa lizzy wang.
Donnie yen amejaliwa kupata watoto watatu wa kliume wawili ambao ni man zeok yen,james yen na wa kike jasmine yen.
Wazazi wa donnnie yen baba ni klyster yen,mama bow-sim mark.
Mcheza filamu huyu alianza kuwa maarufu miaka ya 1983 mpaka sasa ameshafanya filamu kama dragon cage 2006,special id 2013,ice man 2014,kung fu jungle 2014,flash point 2007 na hii filamu maarufu ya ipman zilizotoka kuanzia mwaka 2008,2010 na ya mwisho 20015.
Donnie yen amepata tuzo zaidi ya saba 7 ktk tasnia hii ya filamu na hata ktk michezo yake ya kweli ya ngumu.
Zingatia kuwa michezo mingi ambayo donnie yen na jackie chan huicheza ktk filamu zao huwa wanafanya kweli kwakua wao wamesomea michezo hiyo ya ngumi na taekwondo,karate.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "MJUE DONNIE YEN"

Back To Top