Watu 15 waliofukiwa ktk mgodi wa rz mkoani geita ambao unamilikiwa na kampuni ya kichina,juzi kifusi kiliwafikia wafanya kazi hao na kufanya kushindwa kutoka Ila kwa msaada wa kuchimba kwa vifaa maalum.
Kufikia Jana ilikutwa karatasi iliyokuwa imeorodheshwa majina yao yote kumi na matano na huku wakitoa taarifa kuwa wao wote wako salama kabisa isipokuwa mmoja tu ndio amezidiwa njaa.
Hivyo walihitaji msaada wa maji,chakula na soda.
Kufukia leo 29/1/2017 asubuhi watu wote 15 walikolewa na kuwa salama kabisa baada kukaa chini ya ardhi zaidi ya Siku mbili bila vyakula.
Matukio haya yamekuwa ni mengi sana ktk migodi ya hapa nchini na imekuwa jambo la nadra sana kufukiwa kwa watu na kuokolewa kama ilivyokuwa ktk mgodi huu wa RZ.

0 Comments "WATU 15 WALIOFUKIWA MGODI WA RZ MKOANI GEITA WAOKOLEWA SALAMA."