SONY PICTURES YAIMWAGIA LAWAMA KOREA KASKAZINI KWA KUINGILIA MAWASILIANO YA KAMPUNI HIYO!

Mwaka Jana mwezi kumi na moja! Kulizuka lawama lukuki kutoka kampuni kubwa baada ya universal ya kuandaa filamu na muziki ya nchini marekani baada ya kuhisi kuwa nchi ya Korea kaskazini imediliki kuingilia mawasiliano ya kampuni hiyo na kuchunguza taarifa zote nyeti za wacheza filamu na wanamuziki kwa udukuzi wa mitandao! Tuhuma hizi zinalwmetwa baada ya kampuni hiyo kuigiza filamu ya kuchekesha (comedy) ambayo ilimuigiza kiongozi huyo na maisha yake na jinsi watakavyoweza kwenda kumuua ndani ya nchi hiyo,hatua hii ilimkera dikteta huyo (Kim jong un) ambae amerithi utawala huo kutoka kwa baba yake Kim jong ill).

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "SONY PICTURES YAIMWAGIA LAWAMA KOREA KASKAZINI KWA KUINGILIA MAWASILIANO YA KAMPUNI HIYO!"

Back To Top