Raisi wa marekani Donald trump ya kujenga ukuta mkubwa,mrefu zaidi baina ya mpaka wa marekani na mexico imeanza kwa kutekelezwa Leo kwa kutia saini mswada wa ujenzi huo,ukuta huo utakao kua na urefu zaidi ya kilometa (3000) na kugharimu zaidi ya pesa za kimarekani dola billion nane(8).
Sababu kuu ya kujengwa ukuta huu ktk mpaka huo ni kuzuia wahamiaji haramu kutoka mexico na kwengineko kupitia hapo,kuzuia uharifu wa uuzwaji na uingizwaji wa madawa ya kulevya,kupunguza vitendo vya ubakaji,uharamia,makundi ya kihuni
Mpaka baina ya mexico na marekani ndio mpaka ulio bize zaidi usiku na mchana Siku na majira yote ya mwaka!! Kwa sasa mpaka huu umejengwa kwa kutumia bomba za vyuma na unalindwa na polisi n vifaa vya upelelezi kama kamera.
Licha ya kufanya hayo yote bado hali ya kuingia na kutoka watu marekani inazidi kukua! Trump amemwambia raisi wa mexico kuwa lazima achangie pesa ktk ujenzi wa ukuta huo! Lakini raisi wa mexico ameonekana kugoma na kukerwa na jambo hilo!

0 Comments "AHADI YA TRUMP KUJENGA UKUTA MPAKANI MWA MAREKANI NA MEXICO YAANZA!! "