KAMPUNIYA AEROSPACE IKO MBIONI KUTENGENEZA GARI ITAKAYOTEMBEA ARDHINI NA ANGANI!

Airbus inatarajia kutengeneza Gari itakayoweza kupaa angani baada kwa miaka kadhaa ya utafiti wao,kwa miaka ijayo ongezeko la idadi ya watu duniani hasa maeneo ya miji mikubwa na kuongezeka kwa uzalishaji na matumizi ya magari yatembeayo ardhini.

Kampuni hii imeamua kubuni gari itakayoweza kutembea ardhini na kupaa angani ili kuondoa msongamano wa bararani na kufanya mambo kwa ufanisi na kuwahi kwa wakati mwafaka!! Tayari ziko ndege zinazoweza kupaa na kutua ktk maji,ila pia ziko boti ambazo zinatembea ktk maji na hata ncho kavu kama Gari!!

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "KAMPUNIYA AEROSPACE IKO MBIONI KUTENGENEZA GARI ITAKAYOTEMBEA ARDHINI NA ANGANI! "

Back To Top