Mitsubishi wazindua ndege yao ya kwanza! Kampuni ya kijapani Mitsubishi imeamua kujiingiza ktk kutengeza ndege za abiria baada kuzoeleka kwa miaka mingi kwa kutengeneza aina mbalimbali za magari kama pajero n.k hii inatokana na ushindani ktk usafiri wa anga,ndge hizi kwanza ziko ktk majaribio kabla kuingizwa sokoni rasmi!!

0 Comments "MITSUBISHI WAZINDUA NDEGE YAO YAKWANZA"