DINI ZA KISHETANI ZAENDELEA KUSHAMIRI KWA KUPATA WAUMINI WENGI KILA KUKICHA!

Sentensi hii inaweza kuleta mkanganyiko kwa kushangaa kuwa kumbe dini za kishetani zipo! 
Yap! Dini hizi zipo tena kwa wingi sana karibu ktk kila nchi! Bila shaka si kitu kigeni kwa watu kusikia maneno kama freemason,illuminati! In aina ya mifumo ya kuabudu,kuomba ambayo wanadamu wameanzisha na kuamua kufuata njia hii! Watu Wengi maarufu,matajiri,viongozi wa nyadhifa za juu,wanamuziki,wafanya biashara,wacheza filamu na hata wanamichezo wamekua wakishutumiwa kuabudu aina hizi za dini na kufikia mahali kuhisiwa kuwa mafanikio yao mkubwa ktk maisha yanatokana na kuwepo kwao ktk dini hizi,watu kama rihanna,jay z,Michael Jackson,kanyewest na viongozi wa serikali za kimarekani na ulaya wamehisiwa kuwa na mafungamano na dini za kishetani kutokana na aina za ishara za kishetani wanazotumia ktk mikutano,filamu,muziki kama vidole,michoro ya mafuvu,shetani n.k.

Imeripotiwa dini hizi ziko pia afrika kwa kuwa na vituo na wafuasi ktk kila sehemu,hali hii ya kuongezeka kwa kuabudu dini hii ni zifuatazo:-
Tamaa ya maisha ya haraka(mafanikio)
Kupandishwa vyeo na kuapata kazi nzuri yenye maslahi.
Kufanikiwa kibiashara,
Kupata ungozi wa ngazi za juu,
Kukithiri kwa umasikini ktk jamii,
Dini hizi uendesha mambo yake kwa siri sana ikiwemo sehemu ya kuabudu,pia INA sheria ngumu ikiwemo kutoa kafara za wanadamu ili kufanikiwa zaidi,
Jambo lingine ni jinsi ya vifo kwa waumini hawa huwa ni ghafla na kutokuwepo kwa sababu iliyo wazi juu ya Vifo vyao,
Kwetu afrika unaweza kukuta mtu ni tajiri sana Ila akawa anaishi maisha ya kushangaza na kuleta maswali ktk jamii,
Mfano kutovaa viatu au kutembea peku,kuvaa nguo chakavu,kutoweza kula vyakula vizuri,kutolala kitandani,kutoweza kuzaa au kuzalisha,kutooa au kuolewa ambayo huwa ni masharti ya mashetani ambao ndio mungu wao!!
Endapo utadiliki kukiuka masharti hayo basis waweza poteza uhai,kuporomoka kiuchumi,kushushwa vyeo,kuwa kichaa au na kudhalilishwa!,kupoteza umaarufu wako ghafla!

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "DINI ZA KISHETANI ZAENDELEA KUSHAMIRI KWA KUPATA WAUMINI WENGI KILA KUKICHA! "

Back To Top