MAHASIMU WA JADI WAONYESHANA MBWEMBWE KTK KUITAWALA DUNIA!

Inajulikana wazi kuwa mataifa Mawili makubwa kiuchumi,nguvu za kijeshi,teknologia,sayansi na hata ktk nguvu za kijeshi ni marekania na urusi,mwanzoni mwa miaka ya 1990 taifa la urusi liliporwa sifa yake hiyo na marekani baada ya kuinukia kiuchumi na nguvu za kijeshi! Licha ya kufanyiana mengi ktk mahusiano yao Ila kubwa kila taifa limekuwa halimuamini mwenzie hata kidogo hivyo kufanya kila mmoja kumchunguza mwenzie nini anafanya na yeye afanye zaidi!! Ktk uwanja wa vita marekani iliunda ndege ya kivita ijulikanayo kana F-15 NA F-16 kwa ajili ya ulinzi wake na matumizi ya vitani,sifa ya ndege hizi ni kukimbia sana na kufika eneo lolote duniani kwa haraka,kubeba makombora,kuwa na bunduki za rasharasha pembeni,kuwa na mifumo yake ya usalama kwa kulinda chombo na kuona adui alipo,kuona usiku,rada na kuifanya kuwa ndege hatari sana inayoweza kufanya mashambulizi mabaya na ya ghafla na kupotea haraka ktk eneo,katikati ya miaka ya 90 urusi iliamua kutengeneza mtambo na kombola ambalo litaweza kuiangusha ndege hii kwa spidi,umbali wowote ule ilipo hata kama itakuwa inasika sauti tu,warusi walifanikiwa kupata mtambo huu unaojulikana kwa la utani kama(FOUR FINGERS OF DEATH) yaan vidole vinne vya kifo,waliitungua ndege ya f-16 huko Bosnia na kuisamabaratisha kabisa! Mtambo huu una rada maalum pia inaweza kufuatisha harufu ya moshi wa ndege na kuitungua kwa umbali wowote!!

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "MAHASIMU WA JADI WAONYESHANA MBWEMBWE KTK KUITAWALA DUNIA! "

Back To Top